Kifaa kutoka Uganda kutua wiki ijayo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2018
Kifaa kutoka Uganda kutua wiki ijayo
Taarifa za uhakika ni kwamba Yanga imekamilisha mazungumzo na mshambuliaji wa Kimataifa wa Uganda Nelson Senkatuka anayechezea Bright Stars inayoshiriki ligi kuu nchini humo.

Senkatuka anatarajiwa kutua nchini wiki ijayo ili kukamilisha taratibu za usajili tayari kuanza kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania.

Msimu uliopita Senkatuka aliifungia Brights Stars mabao 18 kwenye ligi kuu ya Uganda.



Mabosi wa Kamati ya usajili ya Yanga wako 'busy' kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili kuhakikisha wanaongeza nguvu kwenye kikosi cha timu hiyo ambacho kinashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’