Makambo mtamuelewa tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2018
Makambo mtamuelewa tu
Mshambuliaji Heritier Makambo ameendelea kudhihirisha ubora wake kwenye ligi msimu huu baada ya leo kuifungia Yanga moja ya mabao katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mwadui Fc.

Bao hilo limemfanya Mcongomani huyo afikishe mabao matano akihitaji kufunga mabao matatu tu ili aweze kumfikia kinara wa mabao Eliud Ambokile wa Mbeya City mwenye mabao nane.

Makambo pia yuko nyuma kwa mabao mawili tu dhidi ya washambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi na Meddie Kagere wenye mabao saba kila mmoja.

Karibuni Makambo alikumbwa na changamoto ya kutofanya vizuri kwenye baadhi ya michezo lakini katika mchezo dhidi ya Mwadui Fc leo ameonekana kuimarisha kiwango chake.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
16h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
21h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’