Zahera apongeza wachezaji kwa ushindi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2018
Zahera apongeza wachezaji kwa ushindi
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewapongeza vijana wake kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mwadui Fc ugenini mkoani Shinyanga.

Zahera amesema licha ya timu yake kuwakosa wachezaji muhimu kama Kelvin Yondani, Beno Kakolanya, Ibrahim Ajib na Deus Kaseke, lakini amefurahi kuwa wachezaji waliopata nafasi wamefuata maelekezo yake na kufanikiwa kupata alama tatu muhimu.

"Malengo yetu ilikuwa kupata alama tatu. Kama mlivyoona wachezaji wengi leo wamekosa. Beno, Yondani, Ajib wote hawakuwepo. Lakini niliwaambia wachezaji yeyote ninayempatia nafasi inafaa anafanya kazi jinsi tulivyopanga," amesema

"Kipa wetu alifanya makosa wakaingiza bao Mwadui Fc, Lakini kwenye kipindi cha pili niliwaambia wachezaji wapambane kuhakikisha tunaondoka na ushindi. Mungu amesaidia wakaingiza goli la pili na tumeshinda"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’