Twendeni uwanja wa Taifa kwa wingi

Admin By Admin
β€’
23 Aug 2017
Twendeni uwanja wa Taifa kwa wingi
Baada ya tambo nyingi za wapinzani wetu, leo imewadia siku ya kuwafunga midomo na kurudisha utulivu mahali pake.

Mchezo unatarajiwa kuanza saa 11 jioni, hivyo mapemaa twendeni uwanja wa Taifa tukawafunike kama kawaida yetu.

Support kubwa ya mashabiki itasaidia vijana wetu kujituma na kuhakikisha mnyama anachinjwa mapemaaa.

Kwa wale ambao wako nje ya Dar na ambao hawataweza kufika kwenye dimba la Taifa basi wawe karibu na televisheni zao, mchezo huo utarushwa mubashara na Azam TV kupitia channel yao mpya ya Azam Sport 2.

Huu sio mchezo wa kukosa, hawa leo tunao. Ngoma, Ajib na Tambwe hawatawaacha salama.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’