Gadiel Michael anaendelea vizuri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Nov 2018
Gadiel Michael anaendelea vizuri
Mlinzi wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael alipata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui Fc akishindwa kuendelea na mchezo huo katika kipindi cha pili baada ya kuumia kwenye kipindi cha kwanza.

Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu amesema hali ya beki huyo inaendelea vizuri ambapo anatarajiwa kufanyiwa vipimo zaidi baada ya timu kurejea jijini Dar es salaam.

β€œAnaendelea Vizuri, baada ya kufika Dar es Salaam, kesho tutafanya vipimo vya mwisho lakini Hakuna shaka kuwa wakati wowote anaweza kurejea uwanjani," amesema Dk Bavu

Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Mwanza usiku huu wa Jumatatu Nov 25 kwa usafiri wa ndege kurejea jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Alhamisi ijayo katika uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
29m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’