Yanga kujipima Sumbawanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2018
Yanga kujipima Sumbawanga
Baada ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Prisons, kikosi cha Yanga kitaelekea mjini Sumbawanga kwa ajili ya kucheza mchezo wa kirafiki.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano/Usajili Hussein Nyika amesema timu hiyo imepokea mwaliko kutoka kwa wakazi wa Sumbawanga.

Nyika amesema wakiwa Sumbawanga wanatarajiwa kucheza mchezo mmoja wa kirafiki kisha kurejea mkoani Mbeya kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi utakaofuta dhidi ya Biashara Fc ambao utapigwa uwanja wa Taifa.



Yanga iko mkoani Mbeya tangu jana ambapo jioni ilijifua kwenye uwanja wa Itende tayari kwa mchezo dhidi ya Prisons hapo kesho
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
31m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
37m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’