Yanga kufanya 'fujo za usajili' wiki ijayo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2018
Yanga kufanya 'fujo za usajili' wiki ijayo
Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika amesema tayari anayo majina ya wachezaji yaliyopendekezwa na kocha Mwinyi Zahera ili waweze kusajiliwa.

Nyika amesema Yanga itaimarisha kikosi chake wakati huu wa dirisha dogo la usajili ambalo litafungwa Disemba 15, siku 13 zikiwa zimesalia.

Aidha baada ya kumleta Mcongomani Reuben Bomba, Nyika amesema watakamilisha zaoezi la usajili wa wachezaji wengine wiki ijayo.

"Kocha ameshatukabidhi majina ya wachezaji ambao anataka wasajiliwe wakati huu wa dirisha dogo la usajili. Tunaendelea na mazungumzo na baadhi ya wachezaji wakiwemo wa ndani," alisema Nyika

"Tayari tumemshusha mchezaji kutoka Congo (Reuben Bomba) na tunatarajia tutakaporejea kutoka Mbeya tutakamilisha usajili wa wachezaji wengine wa ndani"

Yanga iko Mbeya ambapo kesho itashuka kwenye uwanja wa Sokoine mkoani humo kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’