TFF iliyokosa umakini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2017
TFF iliyokosa umakini
Mmekiona kituko cha TFF kwenye hiyo zawadi ya Ngao ya Jamii iliyotwaliwa na Simba jana baada ya kupata ushindi wa mikwaju ya penati?

Yani wamekosa umakini hata wa kutambua kuwa hiyo ilitakiwa iandikwe COMMUNITY SHIELD na sio COMMUNITY SHEILD

Haya zawadi yenyewe sasa, si bora wangetengenza Ngao ya Mbao tupu kuliko hicho kituko walichofanya.

Wanachoweza kukifanya kwa uhakika ni kuwafungia wachezaji wa Yanga tu, mengine ni ubabaishaji mtupu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’