Yanga yalia na waamuzi TPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Dec 2018
Yanga yalia na waamuzi TPL
Mchezo wa jana kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga nusura uingie dosari kwenye kipindi cha kwanza kutokana na maamuzi mabovu ya waamuzi wa mchezo huo

Baadhi ya maamuzi yalikuwa na upendeleo wa dhahiri kwa wenyeji hali iliyopelekea kuwafanya wachezaji wa Yanga washindwe kuvumilia

Mara kadhaa kocha Mwinyi Zahera na benchi la ufundi walikuwa wakimfuata msimamizi wa mchezo kufikisha malalamiko kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa maamuzi

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewataka waamuzi wazingatie sheria 17 za mchezo wa soka katika maamuzi yao.

Ten amesema maamuzi ya mchezo wa jana yalilenga kuutia aibu mchezo wa soka kwani kulikuwa na viashiria vya dhahiri vilivyokuwa na lengo la kuvuruga mchezo huo.

Kocha Mwinyi Zahera alisema Mungu alisimama upande wa Yanga licha ya jitihada zilizofanywa na waamuzi kutaka timu hiyo ipoteze mchezo
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’