Yanga imekuwa na msimu mzuri mpaka sasa. Ikiwa inaongoza ligi na alama zake 38, pia ni vinara wa kupachika mabao kwenye ligi hiyo.
Yanga imefunga mabao 27 ikiwa ni mabao manne zaidi ya Simba iliyofunga mabao 23.
Azam FC imepachika mabao 20.
Ndio timu ambayo wachezaji wake wengi wamehusika katika kupachika mabao. Wachezaji 10 wameifungia timu hiyo mabao katika michezo 14 iliyocheza.
Wafungaji wa Yanga
Heritier Makambo - 7
Ibrahim Ajib - 5
Amisi Tambwe - 4
Mrisho Ngasa - 4
Raphael Daudi - 2
Deus Kaseke - 1
Kelvin Yondani - 1
Andrew Vicent - 1
Feisal Salum - 1
Jaffar Mohammed - 1
Ibrahim Ajib Migomba amehusika katika mabao mengi zaidi kwenye ligi kuliko mchezaji mwingine yeyote. Amefunga mabao matano na kutengeneza mabao 10
Kati ya mabao 27 yaliyofungwa na Yanga, Ajib amehusika katika mabao 15 iwe kufunga au kutoa pasi ya bao

ADVERTISE HERE