Wakati Yanga wakishiriki michuano ya Kombe la Shirikisho msimu uliopita ratiba yao ilikuwa 'kama yote'
Kwani walishiriki mashindano yote, huku CAF, kule FA pale Ligi.
Kuna wakati walitoka Shelisheli wakaunganisha moja kwa moja Songea kucheza na Majimaji mchezo wa kombe la FA.
Siku mbili baadae wakaibukia Mtwara kuikabili Ndanda Fc mchezo wa ligi!
Lakini msimu huu 'mtoto mpendwa' ana kila dalili ya kupewa likizo ya mwezi mzima kushiriki mashindano ya ndani kisa nini?
Hata kocha Mwinyi Zahera alihoji hili mbona hawachezi?
Hata hivyo wengi tungependa waendelee kupewa likizo hivyo hivyo ili siku wakirejea wakute shughuli imemalizika, vitamu vyote vimeliwa wakomae na viporo tu!

ADVERTISE HERE