Viongozi wa matawi Yanga kuiburuza TFF Mahakamani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2018
Viongozi wa matawi Yanga kuiburuza TFF Mahakamani
Sekeseke la uchaguzi wa klabu ya Yanga limechukua sura mpya baada ya viongozi wa matawi kuanza kujipanga kwa lengo la kulishtaki mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Wakitangaza uamuzi huo leo Mwenyekiti wa Kamati ya Matawi Kanda ya Kinondoni, Shabani Huda amesema kwasasa wanajipanga kufungua kesi mahakamani kuwashtaki TFF kama ni haki yao kusimamia uchaguzi wa Yanga.

Mbali na Huda kiongozi mwingine wa tawi la Uhuru Kariakoo, Edwini Kaisi amesema katika uamuzi huo, watafungua kesi mbili ya kwanza kuomba tafsiri ya kisheria.

Kaisi amesema kesi ya pili itafunguliwa dhidi ya Rais wa TFF na katibu wake kwa uamuzi wao wa kumkataa Yusuf Manji kwa kuwa wao walishamhalalisha kuwa ni mwenyekiti wa Yanga.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’