Yanga yamwania Mganda kutoka Sofapaka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2018
Yanga yamwania Mganda kutoka Sofapaka
Wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa Jumamosi hii, uongozi wa Yanga 'uko busy' kukamilisha usajili wake.

Inaelezwa tayari Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji watatu na inamnyemelea mshambuliaji mwingine kutoka Sofapaka Umar Kasumba.

Hata hivyo, Kasumba raia wa Uganda bado ana mkataba na timu yake hivyo Yanga inahitaji kumalizana na Sofapaka ili kuweza kupata sahihi yake

Mshambuliaji huyo aliyependekezwa na kocha Mwinyi Zahera, anatajwa kuwa na uwezo wa kucheza nafasi zote za ushambuliaji na aina ya uchezaji wake inashabihiana kabisa na ile ya Heritier Makambo

Dirisha dogo la usajili litafungwa mwishoni mwa wiki hii, Jumamosi Disemba 15 2018

Licha ya kuhusishwa na wachezaji wengi, Uongozi wa Yanga bado haujatoa taarifa rasmi kuhusu usajili wake.

Bila shaka wiki hii kabla ya dirisha la usajili kufungwa siku ya Jumamosi, Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Hussein Nyika ataweka kila kitu hadharani
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’