Wakala wa Kakolanya ni Suleiman Haroub, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2018
Wakala wa Kakolanya ni Suleiman Haroub, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba
Juzi baada ya mchezo wa ligi kati ya Yanga dhidi ya Biashara United, waandishi wa habari walimuuliza kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera kuhusu hatma ya mlinda lango Beno Kakolanya ambaye 'amejiondoa' hadi atakapolipwa madai yake.

Zahera alisema hafahamu alipo Kakolanya na hana taarifa zake lakini akafichua kwamba wakala wa mchezaji huyo ni kiongozi wa klabu ya Simba.

Kiongozi huyo ni Mjumbe wa Badi ya Wakurugenzi ya Simba Suleiman Haroub.

Kabla ya kushinda nafasi hiyo kwenye uchaguzi uliofanyika hivi karibuni katika klabu ya Simba, Haroub alikuwa Katibu Mkuu wa chama cha soka mkoa wa Mbeya

Zahera alitahadharisha kuwa ni jambo la hatari sana kwa kiongozi wa timu moja kuwa wakala wa mchezaji wa timu pinzani

"Kiongozi wa Simba anakuwa meneja wa Beno, hii ni hatari, hii inakuwa hatari, wakala wake anakuwa kiongozi wa Simba, aaah! golikipa wetu? Mimi sina habari yake tangu nilipokwenda Congo," alisema Zahera
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’