Sasa wanaamua kumzushia Lwandamina

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2017
Sasa wanaamua kumzushia Lwandamina
Kwa hakika kiwango kilichoonyeshwa na Yanga jana kimewashitua wenzetu wa upande wa pili waliokuwa wakidhani wanaenda kuchukua ushindi mwepesi pale kwenye dimba la Taifa.

Mapema leo kwenye mitandao ya kijamii kumeibuka tiketi ya ndege ya FastJet iliyo na jina la kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina eti ameachana na Yanga na anarudi kwao Zambia kesho August 25.

Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa tiketi hiyo ni feki, ipuuzwe. Imetengenezwa na wasioitakia mema Yanga.

Wabaya hao wanajaribu kuivuruga Yanga kwa mbinu tofauti hasa baada ya kuona WanaYanga wameendelea kuwa wamoja licha ya misukosuko ya hapa na pale.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’