Yondani kuikosa Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2018
Yondani kuikosa Ruvu Shooting
Nahodha wa Yanga Kelvin Yondani hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakachoshuka dimbani kesho Jumapili kuikabili Ruvu Shooting kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Yondani atakosa mchezo huo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Ataungana na Mrisho Ngasa ambaye atakosa mchezo wake wa pili ikiwa ni adhabu yake ya kukosa michezo mitatu baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Prisons.

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amebainisha pia viungo Raphael Daudi na Thabani Kamusoko nao hawatakuwa sehemu ya mchezo wa kesho baada ya kupata majeraha.

Lakini habari njema ni kurejea kikosini kwa Ibrahim Ajib ambaye alikosa mchezo uliopita dhidi ya Biashara United akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano

Aidha Zahera amesema katika mchezo wa kesho atampa nafasi kinda aliyepandishwa kutoka kikosi cha pili cha Yanga Gustafa Simon.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’