Yanga imethibitisha kusajili wachezaji wawili na kuacha wachezaji wanne.
Waliosajiliwa ni Haruna Moshi kutoka African Lyon na Ibrahim Hamid ambaye amejiunga Yanga akiwa mchezaji huru.
Said Mussa na Pato Ngonyani wametua kwa mkopo African Lyon wakati Yusufu Mhilu amepelekwa Ndanda Fc.
Emmanuel Martin amesajiliwa na Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE