Huyu Ajib ndio wanamfananisha na yule wa kule?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2018
Huyu Ajib ndio wanamfananisha na yule wa kule?
Kwa mara nyingine Ajib leo amedhihirisha kweli mguu wake ni wa dhahabu na hastahili kabisa kufananishwa na yule wa kule

Aidha 'combination' yake na Heritier Makambo ni habari mbaya sana kwa timu zinazoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu huu.

Ajib na Makambo wamehusika katika mabao mawili kati ya matatu yaliyofungwa na Yanga leo. Wawili hao weendelea kupeleka vilio kwa wapinzani

Ajib ndiye aliyetoa pasi kwa Makambo ambaye alimtengenezea Tambwe kufunga bao la kwanza.

Kwenye dakika za majeruhi mpira wa adhabu uliopigwa na Ajib ukatua kichwani kwa Makambo kuiandikia Yanga bao la ushindi.

Huku kwetu hatumsifii Ajib kwa sababu ya 'makorokoro' yake, tunamsifia kwa sababu miguu yake ni ya dhahabu.

Takwimu zinaonyesha kila anapokuwepo dimbani lazima mguu wake uhusike kufunga au kutengeneza bao
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’