Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka kesho Jumanne Alfajiri kuelekea mkoani Arusha kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon.
Mchezo huo utapigwa katika dimba la Sheikh AMri Abeid Alhamisi, Disemba 20 2018.
Yanga itakwenda mkoani Arusha bila ya kocha wake Mkuu Mwinyi Zahera ambaye Alfajiri ya leo ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kwa ajili ya matibabu
Hata hivyo Zahera amesema ana matumaini makubwa kuwa kikosi chake kitakachoongozwa na kocha Msaidizi Noel Mwandila, kitapata matokeo mazuri mkoani humo.
African Lyon imeruhusiwa na TFF kutumia uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa michezo yake dhidi ya Yanga na Simba

ADVERTISE HERE