Wanne kuikosa Lipuli Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Aug 2017
Wanne kuikosa Lipuli Jumapili
Wakati ligi kuu ya soka Tanzania Bara ikitarajiwa kuanza kesho Jumamosi, Yanga itashuka kwenye dimba la Uhuru keshokutwa Jumapili kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Lipuli.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema bado Obrey Chirwa, Geofrey Mwashiuya na Beno Kakolanya ni majeruhi na hawataweza kushuka dimbani Jumapili.

Aidha Burhani Yahya nae amepata matatizo ya misuli hivyo ameungana na wachezaji hao watatu kuukosa mchezo wa Jumapili.

Ten amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kwenye dimba la Uhuru keshokutwa Jumapili kuipa nguvu timu ili iweze kuibuka na ushindi kwenye mchezo wake wa kwanza.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’