Droo ya AFCON 2019 U17 kufanyika Mlimani City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2018
Droo ya AFCON 2019 U17 kufanyika Mlimani City
Droo ya makundi ya fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika kwa ngazi ya vijana umri chini ya miaka 17 AFCON 2019 U-17 inafanyika leo jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.

Tanzania itakuwa mwenyeji wa michuano hiyo itakayofanyika mwakani.

Mataifa nane yanatarajiwa kushiriki michuano hiyo, Tanzania na Uganda zikiwakilisha Afrika Mashariki

Nchi nyingine ni Morocco, Senegal, Guinea, Nigeria, Cameroon na Angola.

Hii itakuwa mara ya pili kwa Tanzania kushiriki ambapo ilishiriki kwa mara ya kwanza mwaka 2017 michuano hiyo ilipofanyika Gabon
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’