Yanga yaishushia 'full mziki' Tukuyu Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2018
Yanga yaishushia 'full mziki' Tukuyu Stars

Yanga haitanii msimu huu! Ndio kauli unayoweza kusema baada ya mabingwa hao wa kihistoria Tanzania kushusha kikosi chao kamili kwa ajili ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tukuyu Stars leo.

Moja ya malengo makuu ni kuhakikisha timu inafanya vizuri kwenye michuano yote inayoshiriki, kikosi kilichopangwa na kocha Noel Mwandila kinadhihirisha hilo.

Boban ndani ya nyumba

Kiungo Haruna Moshi 'Boban' aliyetua Yanga kwenye dirisha dogo la usajili akitokea klabu ya African Lyon ameanzishwa kwenye mchezo huo sambamba na Feisal Salum, Ibrahim Ajib na Pius Buswita katika mfumo wa 4-4-2

Amisi Tambwe na Heritier Makambo wanaendelea kucheza pamoja huku walinzi wanne waliocheza mchezo dhidi ya African Lyon Gadiel Michael, Paulo Godfrey, Kelvin Yondani na Abdallah Shaibu wakiongoza safu ya ulinzi.

Mlinda lango Ramadhani Kabwili amepona lakini leo ameanzia 'bench' akimpisha Klaus Kindoki kulinda kango la Yanga.

Mchezo huo ni wa mtoano ambapo mshindi atatinga raundi ya nne ya michuano hiyo ambayo bingwa wake ataiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’