Ratiba ya michuano ya kombe la Mapinduzi imetolewa ambapo michuano hiyo itaanza rasmi Januari mosi, 2019.
Yanga imepangwa kundi B pamoja na Azam Fc, KVZ, Malindi Fc na Jamhuri wakati kundi A lina timu za Simba, Chipukizi, KMKM na Mlandege.
Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza Januari 03 dhidi ya KVZ

ADVERTISE HERE