Umeyasikia maneno ya Manara kwa Kamusoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Aug 2017
Umeyasikia maneno ya Manara kwa Kamusoko
Hakuna asiyemjua Afisa Habari wa Simba Haji Manara kwa maneno yake ya utata hasa linapokuja swala lolote linaloihusu klabu ya Yanga.

Lakini leo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram hakusita kumwagia sifa kiungo fundi Thabani Scara Kamusoko.

Manara amesema licha ya kuwa yeye sio mshabikiwa Yanga lakini anakiri uwezo wa Kamusoko ni wa kucheza soka hata barani Ulaya.

"Huwa sifichi mahaba yangu kwa mchezaji anayenivutia uwanjani,hata kama anachezea Klabu nisiyoishabikia, Scara Kamusoko hapewi heshma anayostahili nchi hii. Ni level ya kucheza Europe," amefunguka Manara.

Kamusoko ameanza vizuri msimu huu na hakuna shaka anastahili kuvaa kitambaa cha unahodha katika klabu ya Yanga.

Licha ya uwezo wake mkubwa dimbani, Kamusoko ni mhamasishaji mzuri.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’