Yanga Princess yapania kuwanyoosha Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2019
Yanga Princess yapania kuwanyoosha Simba Queens

Mchezo wa kwanza wa watani wa jadi  ligi kuu ya Wanawake kati ya Yanga Princess dhidi ya Simba Queens utapigwa Jumapili, Januari 13 katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam

Mashabiki wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi Jumapili katika dimba la Karume kuwaunga mkono kinadada wa Yanga Princess waweze kuwaadhibu watani zao Simba Queens.

Kiingilio cha mchezo huo ni Tsh 2,000/- tu.

Mpaka sasa Yanga Princess imeshuka dimbani mara nne, imeshinda michezo miwili na kupoteza michezo miwili.

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’