Jana winga Mrisho Ngasa alicheza mchezo dhidi ya Stand United licha ya kupata msiba wa kufiwa na Baba yake mdogo
Msiba huo ulitokea mapema kabla vinara hao wa ligi kuu kushuka dimba la Kambarage kuwakabili wenyeji wao Stand United waliofanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Ngasa alithibitisha kutokea kwa msiba huo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram
Pole 'Uncle' kwa msiba, Mwenye ez Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi
ADVERTISE HERE