Mchezo dhidi ya Biashara United kupigwa saa moja usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2019
Mchezo dhidi ya Biashara United kupigwa saa moja usiku

Keshokutwa Alhamisi, Januari 31 2019 vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Biashara United katika mchezo wa kombe la FA (ASFC), raundi ya nne

Mchezo huo umepangwa kupigwa saa moja usiku

Mshindi wa mchezo huo atajihakikishia kutinga raundi ya tano ya michuano hiyo ya kombe la Azam (ASFC) ambayo ni hatua ya 16 bora

Aidha timu ya Namungo Fc tayari imetinga hatua hiyo na inamsubiri mshindi wa mchezo huo kwenye raundi ya tano katika mchezo ambao utapigwa Wilayani Ruangwa mkoani Lindi

Yanga imeweka kambi kwenye Hotel ya Nefaland kujiandaa na mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’