Leo kile kikao cha kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kitakaa kutoa maamuzi juu ya wachezaji Obrey Chirwa, Deus Kaseke na Simon Msuva wanaotuhumiwa kufanya fujo kwenye mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita.
Chirwa na Kaseke wameitwa kujieleza katika kamati hiyo wakati Simon Msuva yeye hatahusika katika kikao hicho kwa kuwa sasa anasakata kabumbu nchini Morocco.
Wakati huo huo, uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa mshambuliaji Obrey Chirwa amepona majeraha yake na ataanza mazoezi leo

ADVERTISE HERE