Tunakamiwa sana - Kamusoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2019
Tunakamiwa sana - Kamusoko

Kiungo mkongwe Thabani Kamusoko amesema moja ya changamoto inayoikabili Yanga sasa ni kukamiwa na timu zote hivyo kuifanya michezo yote kuwa kama fainali kwao

Akizungumza baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Coastal Union jana, Kamusoko alisema wenyeji walikamia mchezo huo lakini Yanga watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kuibuka na ushindi

"Sisi tulitengeneza nafasi nyingi tukashindwa kuzitumia wao wamepata nafasi moja na wakaitumia," alisema Kamusoko

"Tunajua michezo yetu yote ni kama fainali, kila timu tunayokutana nayo inatukamia kutufunga lakini tutaendelea kupambana kuhakikisha tunapata matokeo katika kila mchezo"

Matokeo ya jana ilikuwa sare ya tatu kwa Yanga msimu huu. Bado inaongoza ligi kwa tofauti ya alama saba dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’