Cannavaro akabidhiwa majukumu mapya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2017
Cannavaro akabidhiwa majukumu mapya Yanga
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema kwa sasa hatarajii kuonekana sana dimbani kutoka na majukumu mapya aliyokabidhiwa ndani ya kikosi cha Yanga.

Cannavaro mwenye umri wa miaka 35 ameitumikia Yanga tangu mwaka 2005 ndiye mchezaji mkongwe zaidi kwenye kikosi cha Yanga.

Licha ya kuwa nahodha, Cannavaro sasa amekuwa sehemu ya benchi la ufundi akitumika kusaidia kuimarisha viwango vya vijana kwenye safu ya ulinzi.

"Ni kweli kwa sasa sichezi sana kwani mimi nina muda mdogo wa kucheza soka tofauti na vijana wanaochipukia akina Ninja, Dante na wengineo na si kwamba sina uwezo wa kucheza.

"Mimi ni kiongozi wa wachezaji wenzangu kwa kuwaelewesha kwani tunahitaji kuhakikisha tunakuwa vizuri kwenye ligi," alisema Cannavaro.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’