Shaibu kuzikosa JKT Tanzania, Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2019
Shaibu kuzikosa JKT Tanzania, Simba

Beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' ameitwa katika kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la soka nchini (TFF) kujitetea dhidi ya tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Coastal Union

Kikao hicho kitafanyika Jumapili, Februari 10 2019 saa nne asubuhi

Kwa maana hiyo Ninja hatokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoikabili JKT Tanzania Jumapili ijayo na pia huenda akafungiwa michezo mitatu hivyo kumfanya akose mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Taifa Februari 16 2019

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
17h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’