Alama tatu kibindoni, zamu yao inafuata..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2019
Alama tatu kibindoni, zamu yao inafuata..

Yanga leo imeendeleza utamaduni wake wa kutokutegemea mchezaji mmoja mmoja ikifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania

Baada ya Kelvin Yondani, Thabani Kamusoko na Heritier Makambo kusokena katika kikosi kilichoanza, wengi waliamini mchezo huo ungekuwa mgumu kwa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania

Hata hivyo halikuwa tatizo kwani wachezaji waliopata nafasi leo walijituma kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu dhidi ya timu ngumu ya JKT Tanzania

Kabla ya mchezo huo wengi waliamini Yanga ingeacha pointi nyingine leo

Baada ya ushindi wa leo, Yanga sasa inawasubiri watani zao wa jadi, Simba kwa ajili ya mchezo unaofuatia Februari 16 2019

Kikosi cha Yanga huenda kikaelekea mkoani Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’