Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na beki kisiki wa Yanga Kelvin Yondani kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Botswana jana Jumamosi.
Yondani amerejea kwenye kikosi cha timu ya Taifa ikiwa ni baada ya miaka miwili tangu alipojiondoa mwaka 2015 kufuatilia kipigo cha mabao 7-0 kutoka kwa Algeria.
Katika mchezo huo Tanzania iliondoka na ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Yanga Simon Msuva.
Samatta anayechezea KRC Genk amesema Stars ilistahili ushindi katika mchezo huo kutokana na kikosi chake imara.
“Botswana walijitahidi ila ilikuwa lazima wafungwe maana hawana kikosi bora zaidi yetu. Tungeshangaa kama sisi tusingeshinda, maana hatuna sababu kwa sasa,â€alisema.

ADVERTISE HERE