Taarifa ya kwanza kuhusu michango Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2019
Taarifa ya kwanza kuhusu michango Yanga

Uongozi wa Yanga umeweka hadharani kiasi cha pesa kilichochangishwa tangu kuanzishwa kwa kampeni ya kuichangia Yanga mwanzoni mwa mwezi huu

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema jumla ya Tsh Mil 21 zimekusanywa

Mchanganuo wa michango;

MPESA Tsh 6,310,480

TIGOPESA Tsh 5,937,168

CRDB BANK Tsh 9, 129,450

JUMLA 21,377,098

Hafidh amewataka Wana Yanga waendelee kuichangia timu ili iweze kutimiza mipango yake kama ilivyoainishwa na kocha Mwinyi Zahera wakati kampeni hiyo ilipoanzishwa

Uongozi wa Yanga umesema utaendelea kutoa ripoti kila wiki kwa wanachama na mashabiki wake kuhusu mwenendo wa zoezi hilo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
38m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
56m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’