Yanga safarini Lindi, yaifuata Namungo FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Feb 2019
Yanga safarini Lindi, yaifuata Namungo FC

Msafara wa wachezaji 20 wa Yanga na viongozi wakiwemo wa benchi la ufundi, umeondoka leo Ijumaa asubuhi kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Namungo Fc.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili, Februari 24 katika uwanja wa Majaliwa wilayani Ruangwa

Msafara unaongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Hussein Nyika

Yanga itatinga robo fainali ya michuano hiyo kama itaibuka na ushindi dhidi ya Namungo inayoongoza kwenye msimamo wa ligi daraja la kwanza, kundi A

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’