Baada ya kukosa mchezo dhidi ya Mbao Fc kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano, beki Gadiel Michael na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' wamerejea kwenye kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa kombe la FA dhidi ya Namungo FC
Fei Toto na Gadiel ni miongoni mwa wachezaji waliocheza mechi nyingi zaidi ndani ya Yanga msimu huu
Wanatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoivaa Namungo Fc mkoani Lindi keshokutwa
ADVERTISE HERE