Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina anatarajiwa kuwasili nchini leo Jumapili akitokea kwao nchini Zambia kuhudhuria msiba wa baba yake aliyefariki wiki iliyopita.
Wachezaji wa Yanga ambao hawakuitwa kwenye timu ya Taifa walipewa mapumziko na sasa kesho wataungana na wenzao katika mazoezi yatakayofanyika uwanja wa Uhuru.
Aidha, Baada ya TFF kusogeza mbele michezo iliyokuwa ipigwe katikati ya wiki, Yanga sasa itashuka dimba la sabasaba mkoani Njombe kuchuana na Mji Jumamosi ijayo, Septemba 09.

ADVERTISE HERE