Tambwe, Chirwa waanza mazoezi leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2017
Tambwe, Chirwa waanza mazoezi leo
Washambuliaji hatari wa Yanga Obrey Chirwa na Amissi Tambwe ambao walikuwa majeruhi kwa wiki kadhaa leo wameungana na kikosi cha Yanga kujiandaa na mchezo dhidi ya Njombe Mji.

Mchezo huo utapigwa Jumamosi ijayo kwenye dimba la Sabasaba mkoani Njombe.

Tambwe, Chirwa, Mwashiuya na mlinda lango Beno Kakolanya wamekuwa wamejiruhi wakisumbuliwa na tatizo la goti.

Kurejea kwa wawili hao kutaongeza nguvu kwenye kikosi cha Yanga ambacho kwa hakika kinahitaji kupata ushindi katika mchezo wa pili ili kuanza kampeni yake ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’