Alliance Fc yaomba radhi tukio la utovu wa nidhamu wa mchezaji wake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2019
Alliance Fc yaomba radhi tukio la utovu wa nidhamu wa mchezaji wake

Uongozi wa klabu ya Alliance Fc umeiomba radhi Yanga na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia tukio lisilo la kiungwana lililofanywa na mchezaji wake Juma Nyangi dhidi ya Gadiel Michael wa Yanga

Alliance Fc imesema itamchukulia hatua za kinidhamu beki huyo

Tayari Nyangi amefikishwa mbele ya Kamati ya Nidhamu ya klabu hiyo

Nyangi alimfanyia Gadiel tukio lisilo la ki-uanamichezo la kumpapasa makalio katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba wiki iliyopita

Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’