Kila tawi Yanga kuchangia Milioni moja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2019
Kila tawi Yanga kuchangia Milioni moja

Viongozi wa Matawi ya klabu ya Yanga wamekutana leo Makao Makuu ya klabu hiyo Jangwani jijini Dar es salaam ambapo ajenda kuu ya Mkutano huo ikiwa ni kuandaa mkakati wa kuhakikisha kocha Mwinyi Zahera anaungwa mkono katika kampeni ya kuichangai timu

Mkutano huo ulihudhuriwa na Zahera ambapo viongozi hao wamekubaliana kila tawi kuendelea kuwahamasisha wanachama ili waweze kuchangia timu

Kila tawi limetakiwa kukusanya angalau Tsh Milioni moja kabla ya ligi kumalizika

Aidha viongozi hao wamependekeza kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa dharura wa klabu ya Yanga ili Wanachama wa klabu hiyo waweze kujadili baadhi ya masuala muhimu yanayoihusu Yanga

Katika hatua nyingine, viongozi wa Matawi wamependekeza Yanga ihamie uwanja wa CCM Kirumba wakati uwanja wa Taifa utakapofungwa kupisha mashindano ya AFCON ya vijana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’