Mzee Akilimali akana kuumwa, awachimba mkwara waliomzushia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2019
Mzee Akilimali akana kuumwa, awachimba mkwara waliomzushia

Baada ya hapo jana kuripotiwa taarifa ya kuumwa kwa Mwanachama maarufu wa Yanga Mzee Ibrahim AKilimali ambaye ni Katibu wa Baraza la Wazee, loe amejitokeza na kukanusha taarifa hizo

Mzee Akilimali amesema hana tatizo lolote la kiafya na ili kuwadhihirishia waandishi wa habari kuwa yupo imara, akapiga pushapu huku akitishia kuwafikisha mbele na vyombo vya sheria wanaomzushia kuumwa

"Sina tatizo lolote kiafya naomba niwathibitishie Watanzania kwa kupiga pushapu na naomba muwafikishie taarifa hao wanaonichafua kutwa kuwa mimi ni mgonjwa. Nahitaji misaada na nipo katika michakato ya kuwashtaki hao wanaonitangazia ugonjwa."

"Nawapa wiki tatu kuniomba radhi wamewaongopea watu kwamba mimi naumwa taabani na ninaomba misaada. Sasa nawaomba watumie vyombo vyao hivyo hivyo walivyonitangazia kukanusha taarifa hizo na kuniomba msamaha," amesema Mzee Akilimali.

Taarifa za kuumwa kwa Mzee Akilimali ziliripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti ya Spoti Xtra

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’