Yanga kamili kuikabili Lipuli Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2019
Yanga kamili kuikabili Lipuli Fc leo

Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara, Yanga leo wako mkoani Iringa ambapo watacheza na Lipuli Fc katika mchezo utakaopigwa saa kumi jioni dimba la Samora

Kikosi cha Yanga kiko mkoani Iringa tangu juzi kikijifua tayari kwa mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka mkoani Iringa na maeneo ya jirani

Yanga inashuka dimbani bila ya kocha wake Mwinyi Zahera ambaye anakabiliwa na majukumu ya timu ya Taifa. Kocha Msaidizi, Noel Mwandila atakuwa na jukumu la kuiongoza Yanga kwenye mchezo huo

Meneja Nadir Haroub amesema wachezaji wote wako katika hali nzuri, wana matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi leo

Ushindi utaifanya Yanga iendelee kuitimulia vumbi Azam Fc iliyofikisha alama 59 baada ya hapo jana kuifunga Singida United mabao 4-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
54m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’