Lipuli Fc leo imeipunguza kasi Yanga baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika dimba lao la nyumbani
Huo ni mchezo wa tatu kwa Yanga kupoteza msimu huu ikiwa pia imepoteza dhidi ya Stand United na Simba
Matokeo hayo bado yanaibakisha Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama zake 67




ADVERTISE HERE