Ngasa ashikiria rekodi ya michezo, mabao Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Mar 2019
Ngasa ashikiria rekodi ya michezo, mabao Stars

Wakati Watanzania wakiusubiri kwa hamu mchezo wa Stars dhidi ya Uganda utakaopigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Taifa, winga wa Yanga Mrisho Ngasa 'Uncle' ni miongoni mwa wachezaji wenye historia ya kipekee katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania

Ngasa ameichezea Stars michezo 100 na kufanikiwa kufunga mabao 25. Bado rekodi yake hiyo ya michezo na mabao haijavunjwa

Ngasa mwenye umri wa miaka 29 anasema bado hajastaafu kuichezea timu ya Taifa na yuko tayari kuitumikia iwapo ataitwa siku zijazo

"Bado sijatangaza kustaafu kuichezea Stars, bado naamini ninayo nafasi ya kucheza na kuonyesha uwezo kama ilivyokuwa mwanzo," amesema Ngasa

"Sijakata tamaa nitapambana kuhakikisha wakati wmingine napata nafasi ya kulitumikia taifa langu muda bado ninao na kipaji kipo kwanini nisiitwe hakuna raha kama kucheza katika timu ya taifa"

Ngasa amekuwa na msimu mzuri katika kikosi cha Yanga akijihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Mwinyi Zahera

Ngasa ameifungia Yanga mabao manne katika ligi kuu ya Tanzania Bara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’