Mazoezi ya Yanga huko Mtwara ni kama mechi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Apr 2019
Mazoezi ya Yanga huko Mtwara ni kama mechi

Idadi kubwa ya mashabiki wanaojitokeza kushuhudia mazoezi ya Yanga mkoani Mtwara unaweza kudhani sio mazoezi, bali kuna mechi inaendelea uwanjani

Tangu Yanga ilipotua mkoani Mtwara jana, mashabiki wamejitokeza kwa wingi 'kuwalaki' wachezaji kila wanapoenda

Mashabiki wa Yanga mkoani Mtwara wameonyesha upendo wa kipekee kwa wapambanaji hao wa Jangwani

Leo jioni Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona tayari kwa mchezo dhidi ya Ndanda Fc utakaopigwa kesho Alhamisi katika uwanja huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’