Wachezaji 26 na viongozi 12 wamo safari ya Njombe, Songea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2017
Wachezaji 26 na viongozi 12 wamo safari ya Njombe, Songea
Yanga itaondoka kesho Ijumaa kuelekea mkoani Njombe kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mji. Wachezaji 26 na viongozi 8 watakuwa kwenye msafara huo wa nyanda za juu, kusini.

Baada ya mchezo wa Jumapili, Septemba 10, Yanga itasafiri kuelekea mkoani Songea ambapo Septemba 16 itashuka tena dimbani kuchuana na Majimaji.

katika orodha iliyotolewa leo na Mkuu wa Habari wa Yanga Dismas Ten, Obrey Chirwa na Geofrey Mwashiuya wamejumuishwa kwenye kikosi cha Yanga.

Amissi Tambwe, Burhani Yahya na Beno Kakolanya hawatasafiri.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’