Taarifa muhimu kwa wanaohitaji kadi za kuichangia Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2019
Taarifa muhimu kwa wanaohitaji kadi za kuichangia Yanga

Kamati ya Hamasa inaomba kuwajulisha kuwa Kadi Maalumu za kuichangia Klabu ya Yanga zinapatikana Klabuni JANGWANI.

Fika Jengo la Yanga wakati wowote upate kadi yako wewe au Kikundi ili uichangie Klabu yako.

KADI ZINAPATIKANA KWA
Mhasibu wa Yanga JUSTINA
Au kwa Katibu wa Yanga Ndg. OMAR KAYA
Unaweza pia kuwasiliana na KATIBU WA KAMATI DEO MUTTA Kwa namba 0716 881512
Masaa 24 utapokelewa simu yako au kujibiwa meseji yako.

Timu ya Wananchi Wawekezaji ni Wananchi Wenyewe

Make Yanga Great Again - MAYAGA

Deo Mutta
Katibu - Kamati Maalumu
April 2019

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’