Hakuna kipa namba moja Yanga - Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2019
Hakuna kipa namba moja Yanga - Zahera

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema walinda mlango Klaus Kindoki na Ramadhani Kabwili wote nafasi sawa na kucheza katika kikosi cha Yanga

Katika michezo ya hivi karibuni, Kindoki amekuwa akipata nafasi zaidi ya Kabwili ambaye naye alipata nafasi zaidi wakati Yanga ilipoachana na aliyekuwa mlinda lango wake namba moja Beno Kakolanya

Hata hivyo Zahera amesema hakuna mlinda lango namba moja wala namba mbili kati yao, yeyote anaweza kutumika katika mchezo wowote

"Hakuna golikipa namba moja, ninaweza nikaamka nikasema fulani ataanza leo, hakuna mwenye nafasi kuliko mwingine," amefunguka Zahera

Yanga imewategemea walinda lango hao wawili tangu ilipoachana na Kakolanya

Uongozi wa timu hiyo uko katika mchakato wa kusajiliwa mlinda lango mwingine atakayechukua nafasi ya Kakolanya msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’