Ngasa yuko tayari kwa majukumu ya Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2019
Ngasa yuko tayari kwa majukumu ya Stars

Winga wa Yanga Mrisho Ngasa amesema bado ana ndoto ya kurejea kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwani bado anao uwezo wa kuitumikia timu hiyo

Jana Ngasa aliiongoza Yanga kupata ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Azam Fc, akifunga bao hilo kwenye dakika ya 13

Akizungumza baada ya mchezo huo, Ngasa amesema uwezo bado anao lakini ni jukumu la kocha kuamua

"Rekodi zangu timu ya Taifa zinajieleza, ni mfungaji bora wa muda wote. Bado uwezo ninao, naamini siku moja nitarejea tena kuitumikia Stars," amesema

Ngasa ameifungia Stars mabao 25 hivyo kumfanya kuwa kinara wa kupachika mabao muda wote akifuatiwa na Mbwana Samatta mwenye mabao 16

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’