Mo Banka amerejea, Lipuli Fc wajiandae

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 May 2019
Mo Banka amerejea, Lipuli Fc wajiandae

Kiungo Mohammed Issa 'Banka' ameanza kuonyesha makali yake katika kikosi cha Yanga baada ya kufanya vizuri kwenye michezo dhidi ya Azam Fc na Tanzania Prisons

Banka aliyemaliza adhabu na kuanza kuitumikia Yanga mwezi Februari, ameongeza nguvu safu ya kiungo ya Yanga ambapo ushirikiano wake na Feisal Salum umeifanya Yanga kuwa bora katika umiliki wa mpira

Banka yuko mkoani Iringa katika kikosi cha Yanga ambacho Jumatatu kitacheza na Lipuli mchezo wa nusu fainali kombe la FA

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema Lipuli Fc watakutana na Yanga tofauti kabisa na ile ambayo waliifunga bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi

Amesema wamedhamiria kutwaa taji la FA ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya Kimataifa msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’